
#MESHerofTheWeek
Niaje, Tunaanza ku-feature MESHers wa nguvu every week hapa MESH. Uko na biz au hustle na ungependa kuwa featured?
1️⃣Take clear photo yako ukipiga hustle au ukiwa kwa biz. 2️⃣Share jina yako. 3️⃣Biz/hustle una-do.
Make sure profile yako umefill in details zote. Tutapick the best, na zitakua featured on Fridays! Share hizo details chapchap on WhatsApp 0114799684

0
0
0