Meshers 😂 Valentine imekula L. CBK imesema wazi: cash bouquets ni kinyume cha sheria 🚫💸 Kwa wale walikuwa wamepanga kuonyesha mapenzi kwa noti zilizopangwa kama maua… sheria imenyonga romance. Kama uliweka down-payment, pole kidogo 😮💨
0