Meshers 🌧️ Aftermath ya ile mvua ya jana iko real. The rains really wrecked havoc kwa majority ya Nairobians. Wengi wetu hatukufika home mapema kutoka kwa hustle, na wale walifika walifika past midnight after struggling na floods, traffic na roads zenye zilikuwa zimejaa maji. But the sad news ni kwamba Kenyans wamepoteza maisha na wengine wamepata huge losses kwa businesses zao. Magari mingi zimeharibiwa — zingine zimevandalise, zingine zimezama kwa maji especially kwa streets zenye floods hukaa. Meshers, this is also a reminder muhimu sana. Tuinsure hustles zetu na assets zetu kama gari, shop ama stock. At least ikiwa kitu kama hii inahappen, kuna chance ya compensation na unaweza kujaribu kusimama tena. Otherwise pole sana kwa meshers na Kenyans wote ambao wameathirika na hii situation. Stay safe, support each other, and let's rebuild again. 💪