MESHers, autocorrect ishawahi kukuaibisha mahaliπ«£π.
Mimi Kuna msee alipost guidelines za kusave pesa vizuri. Mimi nikawa wa kwanza kucomment. Badala ya kusema " Very Useful information" Autocorrect na kiherehere ikasema "Very useless information".ππππ. Nilikuwa off for one week.π€£
