Meshers biashara si mchezo π Imagine kuna mtu alikuwa na job ya kuuza scratch cards pekeeβ¦ na saa hii mambo imechange kabisa. Siku hizi ni M-Pesa, bundles, na appsβata hukumbuki last time uli-buy scratch card lini. Dunia inabadilika fast sana. Lesson ni moja: not every business ita-survive forever. Lazima uadapt mapema. Lakini pia kuna biz zingine ziko solid, zinaweza last decades bila stress. Smart ni kujua which wave unapanda π―
0
0
0