Meshers, biashara si mchezo bana 😪 Leo nimeenda kuona beste yangu—amefungua wines & spirits, na pia mimi ndio supplier wake. Lakini leo… weh 😔 Toka 1700hrs mpaka sasa, nimekaa hapo nikikunywa soda… na hiyo soda ndio sale pekee imefanyika. Hakuna customer mwingine ameingia. Inafika point unajiuliza… hii biashara ita-move kweli ama inaendelea kushuka mpaka ichimbe mafuta? 😅 Real talk—nje huku ni tough. Kuna days unajipanga, unafungua mapema, unakaa hopeful… lakini hakuna kitu inaingia. Meshers, huwa mnafanya aje biz ikiwa chini hivi? Unapush aje hadi things zianze ku-pick?
0
0
0