Meshers, biashara ya viatu (especially mtumba/original mix) iko underrated sana. Demand yake iko constant juu kila mtu huvaa viatu, na watu wengi hutafuta quality na bei ya manageable. Profit iko poa ukijua kuchagua stock (si kila kiatu ni pesa). Hii biz ni ya eye—lazima ujue kucheck sole, stitching, comfort na overall condition. Wengi huoshwa wakibuy stock ya “kujaa” bila strategy, then wanabaki na dead stock. Kwa wenye wamewahi try hii biz, challenge kubwa ilikuwa nini? Stock, customers ama supplier? 👟🤔 (Photo credit to the owner)
0
0
0