logo

Meshers, FPL rada iko aje? ⚽πŸ”₯ This season imekuwa tricky bana. Wasee majority wamejaza squads zao na the β€œmust-haves” β€” GyΓΆkeres upfront kwa goals na Timber kwa defence, huku wengine bado wanashikilia Bruno Fernandes na kuumia points πŸ˜….

Funny thing na FPL ni hii psychology ya fans β€” ukiona player ako na ownership 50%+ unafeel nikama lazima umweke kwa lineup juu ya FOMO (Fear of Missing Out) πŸ˜‚. Lakini ndo hivo, si kila star atawasha kila GW.

So hapa kwa GW3, nani ame-deliver kwenu na nani amewaletea stress? Ama uko kwa wale wasee wanaback underdogs na wanapick differential kama Bowen na Mateta? πŸ‘€

Drop your team screenshot na tuchambue formation zenu hapa! πŸ“ŠπŸ”₯

ThumbnailThumbnail