Meshers, hii biz ya kahawa na mandazi si mchezo! π€ Jana niliwitness kijana wa Burundi kutoka saa nane hadi by 6 jioni akimaliza thermos mbili za kahawa na ndoo moja ya mandazi π³. Yaani watu wanadhani ni biz ndogo kumbe ni biz ya ukweli.
Siri yao iko kwa three things: π Consistency β kila siku, same spot. π Presentation β thermos safi, mandazi fresh. π Customer vibe β wanakuuzia na smile, unarudi bila stress.
Lakini sasa swali ni moja π€·π½ββοΈβ¦ mbona majority ya Wakenya huona hii kama biz ya kujaribu tu na kuachia midway, wakati wenzetu wanamake a kill?
Hii story ya kahawa + mandazi inaweza kuwa daily hustle ya maana ukiipiga serious. Stage, soko, shule, construction siteβpopote kuna watu na njaa, kuna market! π―
Meshers, je mnaiona aje? Mtaingia hii hustle ama bado mnaangalia kando? π«±πΎβπ«²πΎ