Meshers, hii ni business idea yenye inaweza kukulipa bila kuanza na shop ama loan. 😂
Unaishi Utawala, not a must huwe na gari na unajua estate yako vizuri? Hii niche ni yako.
Apa enda round identify vacant houses, especially standalone houses na apartments. Take clear pictures and videos, then anza kupost kwa social media. Usipost nyumba pekee yake, sell the whole lifestyle.
Hospital iko X km away. School iko X km away. Matatu ya Tao unapanda wapi na fare ni how much? Supermarket, roads, security na other nearby facilities.
Kila house iwe na rent, location, photos, video na contact ya landlord.
Sasa hapa ndio pesa iko: charge potential tenants Ksh 2,000–5,000 for viewing services. Watu wengi hawana time ya kuzunguka estate wakitafuta nyumba. Wewe unawasaidia kuidentify options, kupanga viewings na kuwapeleka kwa nyumba wanayopenda.
Na kama unaweza kuget in bed na landlords directly instead of agents, uko sawa. Negotiate viewing fees, referral fees ama commission ambayo iko agreed upfront. Usisahau kuwa transparent na clients kuhusu charges.
Business idea: Estate property viewing and relocation service.
No shop, no expensive equipment. Maybe gari kama yako, simu yako, na knowledge ya area yako ndio assets zako.
Meshers, kama ungeanza hii hustle leo, ungecharge Ksh 2,000 ama Ksh 5,000 per client? Na landlords mngekuwa willing kulipa commission kwa tenant mnawaletea?
#kujengana