
Meshers it’s Saturday! Nataka tusikie story zenu na maoni kuhusu hizi kibadaski biz 💭. Umeona most of vibandaski ziko karibu na industrial areas huwa hazifungui Saturdays na Sundays juu wateja wao wengi ni wa kampuni na wao huishia weekend mpaka Monday.
👉 Sasa swali ni, wewe ukiwa na kibadaski unaweza fanya nini tofauti na washindani wako? Ili hata weekend bado ucontinue kutengeneza ka-cash badala ya kungoja weekdays tu?
0
0
0