
Meshers, jana kulikuwa na uproar mtandaoni! 🤯 A Gen Z, graduate wa B.Com – Kenyatta University, ameamua ku-embrace hustle yake kama mama mboga 🥬🍅. Ameshare story yake online na Wakenya wakagawanyika – wengine wakimpongeza kwa kujituma, wengine wakishindwa ku-relate.
Lakini hapa kwa Mesh, hii ndiyo spirit tunakubali – kuamka, kushika kazi, na ku-make it happen bila kujali titles! 💪🔥 Check her story here https://x.com/TheNairobiTim...
0
0
0