
“Meshers, kama hujajaribu hujui 😂. Biz ni kuingia tu na kuhope mambo itachemka 💯. Hakuna kitu rahisi lakini ukiweka bidii, biz huji-easy vile ugali huji-soft na blueband! 🚀 Wale wasee wa excuses kila saa ‘sina capital, sina connection’ banaa, hata kuanza na ka-idea ya socks huwezi? 😆”
0
0
0