Meshers, kama kawaida huwa nawauliza from time to time... mko aje mentally? ❤️
Maisha si rahisi saa hii. Uchumi unabana, jobs ni chache, biashara nyingi hazisongi vile tulitarajia, na pressure iko kila kona.
Lakini nyuma ya kila profile kuna mtu anapambana na kitu watu wengi hawajui.
Leo si lazima tuongee kuhusu biashara ama gigs. Tuongee kuhusu wewe.
Uko aje kweli? Stress iko aje? Hope bado iko? Ama unajipush tu siku moja baada ya nyingine?
Hii ni safe space. Unaweza sema vile uko, ama hata ukimotivate mwingine kwa maneno machache.
#Kujengana si kuhusu pesa pekee... ni pia kuangalia mwenzako. 🤝
0
0
0