Meshers, kama unaangalia agribiz ya kuwekeza, usipuuze bulb onions. 🧅💰
Onion farming ni moja ya biashara ambazo zinaweza kukulipa vizuri ukiifanya kwa planning na consistency. Siri si kupanda tu, ni kujua wakati wa kupanda, kuwa na maji ya kutosha, kutumia mbegu bora, na kutafuta market mapema kabla ya kuvuna.
Watu wengi hukimbilia biashara zingine wakidhani kilimo hakina pesa, lakini ukweli ni kwamba bulb onions zina demand karibu mwaka mzima. Ukiifanya kama biashara na si hobby, inaweza kuwa source nzuri ya income.
Meshers, kama ungepewa shamba leo, ungejaribu onion farming ama ungeenda na crop gani? Tuambiane experiences na ideas. 🌱👇
0
0
0