Meshers, kumbe siku hizi watu hawarenti shop, wanarent shelves 😂😂
Msee anachukua shop ya 30K, anawapangia shelves 10 people, kila mmoja analipa yake. So instead of wewe kulipa 30K solo, unapata shelf yako na physical location ya biashara.
Hii model iko Nairobi CBD na inatumika sana na online sellers—unaweka stock kidogo, unaendelea kuchapa online, halafu customer akitaka pickup unamwambia:
“Niko Mall X, Shop No. 50.” 😂
Hii ndio hybrid business sasa: Online marketing + shelf ya physical + pickup point.
Unaweza usiwe na pesa ya boutique mzima, lakini ukawa na presence ya shop.
Meshers, biashara inabadilika bana. Siku hizi usikimbilie rent ya shop, kwanza rent shelf uone kama market iko.
0
0
0