Meshers kuna hii running battle imekuwa ikiendelea Githurai market kati ya traders na polisi. Mimi nilidhani ni juu hakuna space ya kuuza… but nikaenda nikarealize kuna designated market kabisa, biashara ingeendelea bila stress. So nikamuuliza trader mmoja, “Mbona hamtaki kuingia ndani kama space iko?” Akanijibu tu simple: “Road ndio inaleta customers.” Na hapo ndio nilielewa game ya biashara. Barabara ina: Foot traffic Visibility Convenience Impulse buyers (msee anapita anachukua sukuma, nyanya, kitunguu) Na ukweli ni huu meshers: Watu wengi hawataki kupanda hadi 5th floor ya soko kununua sukuma wiki. Wanataka kitu iko hapo mbele, wanapita, wanachukua, wanaendelea na shughuli zao. So kama ww huongea: biashara bila foot traffic ni ngumu kusurvive. Location + visibility = biashara. 💯