
Meshers, kuna ile phase ya “if I knew…” as a young business owner. Leo ni nini regret yako saa hizi ambayo unajua kama ungekuwa nayo mapema ungekua mbali zaidi?
👉 Maybe ni loan ulitake ukajipata kwa madeni makubwa, 👉 Ama biz uliingia bila experience ikaanguka, 👉 Ama hata kitu kidogo tu ungeavoid ungekuwa ahead now.
Wacha tuambiane hapa kwa comments, tujifunze kutoka kwa each other.
0
0
0