Meshers,kuna job nilikua nafanya lakini ilinibore,am now jobless but am interested in business.niko na capital ya 6k naezaanza biz gani ?? Mesh ni kuokoleana