
Meshers kuna Job opportunity hapo kEDA (kenya) Ceramics ya kua tile designer . If unajua uko na qualifications manze unaeza ka try plus kama ushai fanya hio wera ya tiles inaeza kakufaa sana. Deadline ni 29 ya hii mwezi so the earlier the better more details unaeza angalia down below 👇🏾. #construction

0
0
0