Meshers, kuna kitu nimeona Pipeline na imenifanya nijiulize kama hii ni ujanja ama ni business opportunity. 😂😂
Imagine watu wanaishi kwa 12th floor na hawana nguvu ya kushuka na kupanda kila time wanataka kufanya shopping.
Wanafanya nini? Wanashusha kikapu na kamba chini, wanaweka shopping list ndani, mama mboga anaweka vitunguu, nyanya na vitu zingine, then anasigniwa avute kikapu juu! 😂
Sasa fikiria kidogo...
What if someone started a proper grocery delivery business targeting people living in high-rise apartments?
Unaweza kuwa na mama mboga wako downstairs, unapokea orders kwa WhatsApp, unafanya shopping na ku-deliver kwa tenants for a small fee.
Hapo kuna business ama hakuna? 👀
Meshers, sometimes business opportunities are hidden in people's daily struggles.
Swali langu ni: Kama ungekuwa unaishi 12th floor, ungelipa Ksh 20–50 ufanyiwe shopping na uletewe kwa nyumba ama ungeshuka mwenyewe? 😂
#Meshers #BusinessIdeas #Kujengana