Meshers, kuna kitu tunaita Terms & Conditions kwa kila agreement. Unapoapply loan ama kununua kitu kwa hire purchase, hizo T&Cs ziko hapo for a reason.
Sai kuna concerns mob sana kwa socials kuhusu certain bikes wengi wa youth wamenunua hapa nchini. Swali ni moja 👇🏾
Je, wewe huwa unasoma na kuanalyse Terms & Conditions before kununua, ama unaona tu bei na unaendelea? Ama kuna time umewahi kusoma ukaamua kuachana na deal kabisa?
Let’s be honest and engage—experience zetu zinaeza saidia mtu asijipate pambaya. đź’đź“„
0
0
0