Meshers, kuna mtaa nimeona youth flani aliwacha kazi ya police akaamua kuingia ground kama youth wengine.
Saa hii anahustle na mahindi choma—and the way anafanya, jamaa anapiga pesa fiti sana 💰🔥
Ameinvest kwa mkokoteni na sufuria kubwa ya kuchemsha mahindi, na biashara inaonekana kushika poa kabisa.
Inaonyesha tu clearly, kazi ni kazi—ni vile unaifanya na consistency yako.
Meshers, how do you view such hustle? Would you try something like this ama bado mindset ya "white collar" ndio imejaa?
0
0
0