
Meshers, kuna noma kwa ground! 😩 Kila msee anasema hakuna money circulation, na ni true kabisa. Mahali umeweka biz kuko aje? Saa hizi ata kupata change ya 1K ni mission — unaweza tembea kilomita kadhaa bila kupata! 😅 How bad is the situation kwa side yako?
0
0
0