Meshers, kuna vibes ziko ground that fuel situation si normal lakini hakuna mtu anasema wazi. Sisi hustlers, especially wale wa boda na wakulima wadogo, tunategemea sana mafuta ku-survive daily.
Lakini sasa kuna another tension imeanza kujitokeza — wale wa electric bikes wanakumbana na hostility from other riders. Juzi hadi nikashuhudia mtu akiflatishiwa tyre town… na hii si mchezo poa kwa biashara.
Competition ni sawa, lakini kuharibu kazi ya mwingine si solution. Kila mtu anatafuta daily bread.
Swali ni: Je, tunaogopa change ama ni kukosa kuelewa opportunities mpya ziko kwa hii industry?
0
0
0