Meshers, kuwakumbusha tu! 😂🔥
Mlisema nikitaka products za nywele, makeup na earrings niende Dubois Road. Then kama ni cereals, kuna ile area ya Duruma Road na OTC. Kama ni kitchenware, plastics, sufurias na cookware, ni-check pale Kamkunji. Na kama ni bonga, kuna Muthurwa ama Marikiti. 🛍️
Meshers, tusisahau pia mitumba! Kuna places zingine unaweza kupata stock ya biashara yako kwa bei poa na kuuza na profit nzuri.
Kujua mahali pa kupata stock ni hatua moja ya kufanikiwa kwa biashara. Usikimbilie kufungua biashara bila kujua utakuwa unapata bidhaa zako wapi na kwa bei gani.
Tujengane kwa kushare information za suppliers na masoko. Comrades, kama unajua place ingine ya kupata wholesale stock ya products tofauti Nairobi, weka kwa comments tujuzane. 🤝🔥
#Meshers #Kujengana #HustleSmart