
Meshers kwa wale mnafanya kwa hotel industry ama mnapenda kukula nje 🍽️… ni menu gani ushahi order ukaletewa kitu huwezi elewa kabisa? 😂
Kama sasa hii trending topic ya “wakamoli” 🥑… tulidhani ni kitu fancy kumbe ni mang’avocado imepasuliwa tu! 🤣
Meshers tuambiane hizo mystery meals zimewahi kutesa nani?

0
0
0