Meshers, leo nimejaribu kusupport local food business nikasema nichukue mandazi mbili za takeaway.
Madam ananiambia ni KSh 30 moja! 😳 Nikadhani sijaskia vizuri. Mimi nimezoea mandazi za KSh 10.
Nikajifanya natafuta coins, nikamwambia pesa haijatosha nikajitoa polepole. 😂
Lakini sasa hiyo bei bado iko kwa akili.
Meshers, mandazi ni how much huko kwenu? Na leo umesupport local business gani? #Kujengana
0
0
0