Meshers 🏍️ Leo tuongee kuhusu boda boda hustle. Hii ni moja ya sectors kubwa Kenya ambayo imeajiri youth wengi sana na inaleta pesa legit. Kuanza si ngumu sana. Pikipiki mpya inaenda around KSh 120K–180K, na second hand unaweza pata 70K–110K. Watu wengi huanza kupitia hire purchase ama SACCO financing wakilipa kidogo kidogo. Kwa siku rider anaweza make KSh 1,500–3,000, after fuel na expenses unaweza baki na 800–1,500 net. Wengine pia hununua bike na kupea rider target ya 300–500 per day, ambayo ni around 10K–15K per month. Secret ni discipline, good customer service na kujoin SACCO ya boda boda. Boda boda sio tu kupanda bike — ni biashara. Leo bike moja, kesho unaweza kuwa na fleet ya bikes zikikuletea income daily. 🔥
0
0
0