Meshers ๐๐ Leo tuongelee biz ya fumigation (dawa ya mende, kunguni na kombamwiko ๐). Hizi vitu zimekuwa nuisance sana especially hapa city. Saa hizi hauko safe hata ukiwa kwa public meansโni very easy kutoka na kunguni ukajipata umezipeleka nyumbani. Na watoto wetu boarding schools nayo ni story nyingine kabisa. Sasa fikiria hii idea kama youth hustle: Mshikane kama vijana 5 hivi, mnunue pump ya around Ksh 1,500, then mnunue insecticides/pesticides. Muanze kuchukua jobs kwa neighbourhoodโnyumba, bedsitters, rentals, hadi small businesses. Dawa poa pia zikoโnaskia zingine zinatoka Uganda, na pia kuna maduka hapa kwetu zinauza. Ukiplan vizuri unaweza hata ku-import. Hii ni biz yenye demand iko constant. Ukiifanya professional, within a few years unaweza kuwa brand kubwa unadeal na high-end hotels, schools, hostels na apartments. Mnaonaje hii hustle? Ni kitu mnaeza start na pesa kidogo lakini ikuwe big with time ๐ฅ๐ฏ(pic by meshAI)