
MESHERS Live Session: Vitu Gani Zina-sell Kwa Biz Ya Mtush?
Come tubonge about current trends and the changes shaping the second-hand clothes business.
Host ni Ibrahimu Mswahili (Wasee wa Mtush group host).
Karibu sana tu-discuss about growing consumer demand for affordable clothes, fashion, na vile unaweza kua innovative ku-grow biz ya Mtush.
Join live session online via Zoom, kuwa part of the conversation.

0
0
0