Meshers mimi huuliza swali moja tu. If unaweza convert 65k ikuwe 500k in 24 hours, mbona unahitaji pesa yangu kunifundisha? Si utumie yako? Same script na hawa wa sure odds—kama ni sure, bet na pesa yako. Hii yangu kidogo, wachana nayo. Forex si fake, but fake gurus ndio wengi.
0
0
0