
Meshers nataka tuambiane ukweli na hii story ya online jobs do I find alone very boring,most online jobs or even all,ni pyramid scheme apart from hizi data entry or online writing editing ziko poa,ofwhich mtu mwenye hana knowledge vizuri ataoshwa vibaya we have to help each other na kabiz yenye unaworkia smart mwenye #fikrazangu
0
0
0