
Meshers niajeni. Nilianza biz ya rabbit na ducks last year. Saa hii farm yangu imefika max potential lakini hakuna maclients. Rabbits zimereproduce hadi space imeisha, mafeeds zimekuwa expe sana, maugonjwa zingine za mdomo nashindwa kuelewa. Na ducks leo ndo wamehatch batch ya kwanza. Inakaa overwhelming. Anybody mwenye ametry hiyo biz anaeza kuwa beneficial mbaya.
0
0
0