Meshers nikipata 60k, March naingia Kinangop naeka viazi eka mbili. Nimechoka kuishi kwa kubahatisha—nataka kuishi kwa plan. Kilimo ndiyo investment yangu, na hii ndiyo step ya kwanza ya kubadilisha life yangu. Wakuu have you ever thought about agribusiness?
0
0
0