
Meshers, niko na story ya seller leo š. Nilijaribu ku-negotiate bei niki-buy product flani online nikamshow kuna wengine wanauza cheaper. Guess venye amenijibu:
"Donāt share screenshots za wengine wako cheaper. Itās a free market, nunua tu huko bila kuni-involve š¤"
Sasa swali ni, hii ni arrogance ama ni frankness raw na unfiltered? š¤ Because ukweli iko hapo, but tone yake ilikua kama ācustomer care haitaki stressā š.
Meshers, how do you see it ama I'm reading too much from the reaction?
0
0
0