😂😂 Meshers, nilikuwa na story na beshte yangu akalalamika vile Nairobi saa kumi na moja alfajiri (5AM) unapata watu tayari wanakimbia huku na kule. Akaniuliza, "How are you even late at 5 in the morning?"
Nikamuambia bro, unajua Gikomba Market? 😂
Kuna watu by 5AM wameshamaliza shopping yao ya viatu, nguo na mitumba, na tayari wako kwa njia ya kurudi home. Hizo vitu zinauzwa cheaper ukienda mapema.
Na usifikirie ni shopping pekee. By 4AM, kuna hotels Gikomba tayari zinauza chai na mandazi fresh. Hiyo inamaanisha wenye wanauza chai na mandazi walifika huko hata mapema zaidi!
Muthurwa Market nayo ni the same story. Nairobi ni city ya watu wanaamka mapema kutafuta riziki.
Sasa Meshers, unashangaa aje mtu kuchelewa saa kumi na moja asubuhi na kuna mwingine tayari amemaliza biashara yake na anaelekea home? 😂
Huku Kanairo hakuna kulala, kila mtu ako na hustle yake! 💯
#Meshers #NairobiHustle #Tuchanuaneni