Meshers, nimekuwa na bestie yangu akanishow kitu iliniacha nikifikiria. Amenishow “Ukifungua biashara, usikubali mbogi ifanye hapo chilling spot.” Nikajiuliza meshers… how true is this? 🤔 Ju ukiruhusu mbogi ikae hapo sana, wengine wanaona kama ni base ya story badala ya place ya biashara. Wateja wengine wanaogopa kuingia, na pia time inaenda kwa story kuliko sales. Meshers wenye wako kwa biashara, how do you handle hii situation? 🔥
0
0
0