Meshers, nimekuwa nikijiuliza... 🤔
Mbona hadi leo hakuna Mkenya amejenga brand kubwa kama KFC, lakini ya kuku wa kienyeji? 🐔
Tuko na kuku wa kienyeji kila county. Wakenya wengi wanasema wana ladha kuliko broiler. Lakini ukienda town, brands kubwa ni za fried chicken za kawaida.
Imagine ukipata outlet ya Kienyeji Fried Chicken yenye recipe yake ya kipekee, crispy, clean, affordable, na branches kila mahali. 🍗
Je, changamoto ni supply? Bei? Ama ni kwamba hakuna mtu ameamua kuifanya kwa kiwango kikubwa?
Wakati mwingine biashara kubwa huanzia swali moja tu.
Wewe unaonaje? Ukiona "Kienyeji Fried Chicken" imefunguliwa karibu na wewe, ungejaribu ama bado ungeenda KFC? 👇
#BusinessTalk #Meshers #Kujengana
0
0
0