Meshers 🐟💼 Nimekuwa nikiona kuna biz iko na pesa lakini wengi wetu hatuiangalii sana — fish mongering. Biashara ya kuuza samaki na omena huku Nairobi. Most of this fish huletwa kutoka Lake Victoria na huingia kwa markets kama Muthurwa Market na City Market before kusambazwa kwa hotels, vibandas na estates. Demand ya fish Nairobi iko juu sana. Lakini interesting thing ni kwamba hii biashara mostly inafanywa na ndugu zetu wa lake side. Youth wengi Nairobi bado hawajaingia sana hii space. Meshers hii ni agribiz opportunity. Unaweza supply, wholesale ama retail kwa estate. Opportunity iko, ni sisi tu kuingia hustle. 💪🐟
0
0
0