Meshers ๐ผ Nimekuwa nikiongea na jamaa fulani tao akaniambia kitu imenifikirisha sana. Anasema by hizi ma date kila mwezi bills zake zinafika over 100k. ๐ Rents kama tano ๐ Mishahara kama tatu Lakini ukikaa chini na records unapata hizo biashara hazimrudishii hizo pesa vizuri. Ananiambia ukweli ni huu: Wakati mwingine unajipata unafanyia landlords kazi na wafanyakazi wako. Tao unaweza pata mtu ako na maduka kadhaa, unadhani ameomoka vibaya sanaโฆ kumbe nyuma ya pazia anapambana tu na bills kila mwezi. Akasema kitu ilinistua kidogo: โKuwa na maduka mingi si lazima profit. Wakati mwingine heri moja kubwa yenye system poa na margin nzuri.โ Hapo nikajiuliza swali Meshers ๐ค Biashara mingi ndogo ndogo ndio strategy ama ni better kuwa na moja kubwa yenye nguvu? Wenye wako kwa biashara tao mnaonaje hii maneno? ๐ญ