Meshers, nimeona advice ya jamaa flani na imenifanya nijiulize, kwani ni rahisi hivi kuoshwa? 😂😂
Anasema ukinunua TV Luthuli, make sure Uber iko standby nje. Once wamekuonyesha TV na ku-test kuhakikisha inawaka, usikubali warudishe kwa box ati wanapackaging. Hapo ndio karata huchezwa! Beba TV yako, iweke kwa gari, halafu urudie box na remote. 😂😂
Imagine mtu anaenda kununua TV na anarudi na box tupu ama fake brand badala ya Samsung inajiandika Samsing ukiwasha 😂 Hii Nairobi lazima uwe na degree ya kujilinda. 🤣
Meshers, have you ever been conned? Na kama ni hivyo, what happened? Tushikane na lessons hapa kabla mwingine aoshwe! 😂
0
0
0