Meshers, nimeskia sana hii term “liquidation” kwa stock market na trading. 🤔
Lakini liquidation inamaanisha nini exactly?
Does it mean umeuza shares zako, umefeli trade, ama broker amekuchukulia pesa? 😂
Wale traders huku, tufafanulieni hii kitu kwa lugha ya kawaida.
0
0
0