Meshers, owning a business si ya watu wa roho laini 😂😂
Imagine uko tu kwa shughuli zako, then suddenly unapata message: “Boss, tumeshikwa, kuja station.” 😭
Na unajua kabisa biashara yako iko na all the required licences, permits na receipts. Sasa unaanzia wapi? Unauliza wamekushika kwa kosa gani ama unaanza kutafuta lawyer? 😂
Hii Nairobi biashara ni another full-time job yenye hujaandaliwa psychologically.
Meshers wenye mko kwa biashara, have you ever received such a call? Na huwa mnafanya nini kwa situation kama hii? 😂
0
0
0