
Meshers pale Busia, Kisumu & Homa Bay 😎 Hii Devolution Conference iko hapa, lakini swali ni moja…
Impact imefika ground ama bado iko kwa speeches na tea breaks? ☕📝
Vijana wa agribiz mmeenda kuonyesha ma cabbages zenu ama bado mnasema “hii mwaka hatujapanda”? 🥬😂
Na meshers wa hotel industry pale Homa Bay… mmeshinda mkipika chips kwa speed ya Formula 1? 🍟🏎️
Wale wa biashara, mme-make kill ama mna-make chai tu? 🤔
Tuweke ukweli hapa… hii conference ni kwa wananchi ama kwa vipepeo wa necktie? 🦋👔
0
0
0