
Meshers, Pi network ni a digital currency that you can mine on your phone since 2019. Ii coin itamake our lives easier sana sana ukiwa na business mindset juu unaeza tumia io coin kubuy goods from any country na kuuza apa Kenya. Already Asia wana enjoy benefits juu wako mbele yetu. Apa Kenya, imebaki kidogo tu soko ifunguliwe watu waaanze biashara,unaeza nunua vitu hapa ama you import with the coin. Watu wako twitter mnaeza search "pi network ama pi payment" kupata an idea of what it is. Nitawaguide hadi mwisho kwa wale wako interested🙃
0
0
0