Meshers, Pipeline kuna jiko ya chapo haijai zima tangu 2017 😂🔥 Hii biz ya chapo kwa streets inalipa aje kweli? Ju sai mafuta na unga zimepanda bei lakini bado wasee wa Pipeline wanajituma ajab. Is it location, high demand, or kuna strategy yenye wengi hawajui? Kama umewai run hii biz ama unajua mtu anafanya, returns huwa aje per day? Na challenges kubwa ni gani?
0
0
0