Meshers, quick insight. š
KRA haikuulizi ulikumbuka nini.
Inauliza records zako zinasema nini. š
Kama kuna audit, hizi ndio huangaliwa kwanza:
š VAT records ziko sawa?
š PAYE imefile na kulipwa vizuri?
š Books, bank na tax returns zinasema story moja?
Na muhimu kuliko yote...
Usingoje audit notice ndio uanze kutafuta invoices, receipts na bank statements.
Hizo hujengwa polepole, mwezi baada ya mwezi.
Good bookkeeping si ya kufile tax tu.
Ni ya kuweza kuitetea. šÆ
0
0
0