
Meshers radaaa ππ Nimeona jana na juzi wengi wenye mko na Google phone mnaumia ku-pick calls π. Google wamebadilisha layout ya Phone app, saa hii lazima uswipe left/right ama u-tap ku-answer/reject.
Usijisumbueβπ unaweza rudisha ile ya zamani tu kwa kudisable update kwa Play Store. Na hiyo stress ya ku-swipe itakua history π. #MesherTips

0
0
0