
Meshers, running a biz ain’t child’s play 😤! Hii life ya biashara si ya kuamka saa tatu na kudhani utatoka na profit ya duka la wholesale 🤣. It takes dedication, discipline, and juu ya yote—kujua mistake yako ilianzia wapi.
Ushawahi fungua biashara, ikakam 2 weeks, then ikadissolve kama blueband kwa chai ya moto? ☕😂 Ulijua uliteleza wapi ama uliishia kusema “Kenya economy ni mbaya”?
Let’s be honest — sometimes it’s not the economy, ni sisi!

0
0
0